Hii ni kozi ya ushairi ambayo inatahiniwa kwa kila kiwango kuanzia shule za sekondari hadi vyuo vikuu. Kila mwalimu hana budi kujifunza kozi hii inayutia sana. 

Ni kozi inayokuza kipawa cha wanafunzi na mhadhir mwenyewe wakiwa makini sana.

Karibu kwa kozi.